ALEX NYANCHOGA APOKO - RINGTONE
Alex Nyanchoga Apoko aka Gospel artist Ringtone toka Kenya amefunguka kuwa ana mpango wa kuingia kwenye siasa na kwa sasa anakitolea macho kiti cha ubunge cha Kitutu Masaba
Ringtone atapigana kikumbo na Mwenyekiti wa ODM,Timothy Bosire kugombea ubunge baada ya Mbunge aliyeenguliwa na mahakama,Bw Walter Nyambati kuliacha wazi jimbo hilo la Kitutu Masaba na kwa sasa Ringtone anasubiri tarehe ya uchaguzi tu itangazwe na aanze mishe mishe za kugombea ubunge....Kila la kheri...bhudda!
No comments:
Post a Comment