IZZO BUSINESS....ONGEA NA MSHUA....!
Atrist toka Mbeya aka Mbeya City's finest,Izzo B ametoka na T-shirt zake ambazo za ONGEA NA MSHUA,chorus ya pini lake kali la Riz-One ambazo zinapatikana kwa buku kumi na tano tu (15,000/=) za kibongo,so kama unazitolea mimate mcheki kupitia kitu cha facebook account yake izzobizness