Thursday, August 18, 2011

Chameleon abadilisha dini nakua muislam, Nakujiita ‘Gaddafi

Artist kutoka uganda jose chameleon siku ya ijumaa, alibadili dini na kuwa muislam katika msikiti wa kinuli nchini uganda ambapo hivi sasa artist huyo anaitwa gaddafi chameleone ambaye alifatana na artist mwenzake haruna mubiru na grace sekamate wote wakitokea eangles production ingawa bado chameleon hajafunguka rasmi sababu ambazo zimemfanya kubadili dini ghafla, lakini uamuzi wake umeshtua watu wengi haswa mashabiki wake.....