Monday, August 22, 2011

SASA MUAMMAR MUHAMMAD A- GADDAFI,MAJI YAWA SHINGONI




 
MUAMMAR MUHAMMAD A- GADDAFI - PRESIDENT LIBYA
 
Muhammad Al Gaddafi,mtoto wa Muammar Gaddafi kwa sasa anaishi chini ya ulinzi mkali baada ya kusalimu amri baada ya kutokea mapigano makali home kwake....
 
MUHAMMAD AL-GADDAFI (MTOTO WA GADDAFI)
 
President Obama,alifunguka kuwa “future ya libya ipo mikononi mwa raia na Gahhafi anahitaji aelewe ukweli kuwa hana mamlaka na Libya kwa sasa,na anahitajika kuachia madaraka kwa watu wa Libya”
 
BARACK OBAMA - US PRESIDENT
 
Jana Gaddafi alionekana live kwenye Al Jazeera,akiwaambia watu wake once again,na kuwaomba radhi kwa kuuachia mji wa Tripoli huku watoto wake wawili,Saif Al-Islam Al-Gaddafi na Al-Saeedi Al-Gaddafi wamekamatwa baada ya wapiganaji kuingia kwenye nyumba ya Aisha Gaddafi
Majeshi ya NATO wamemtaka Gaddafi ajisalimishe coz vikosi vyake vimesha-surrender na kwa sasa waasi wanashikilia mji mkuu wa Tripoli
 
...PANDE ZA TRIPOLI,MJI MKUU WA LIBYA....!