Thursday, September 29, 2011

REST IN PEACE PROFESSOR WANGARI MAATHAI

  

 

REST IN PEACE  PROFESSOR WANGARI MAATHAI
PROFESSOR WANGARI MUTA MAATHAI (1 APR 1940 - 25 SEPT 2011)
Mwanaharakati wa maswala ya mazingira na haki za wanawake kutoka nchini Kenya,Professa Wangari Muta Maathai amefariki dunia Jumapili ya tarehe 25 September,Nairobi Hospital baada ya kuugua ugonjwa wa Cancer aka Saratani

PROFESSOR WANGARI MAATHAI AKIWA NA TUZO YA NOBEL ALIYOTUNUKIWA MWAKA 2004
Professor Wangari Maathai alizaliwa tarehe 1 April,1940 na amefariki akiwa na umri wa miaka 71 Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel na kuweka historia ya kuwa mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo,Pia aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na Waziri msaidizi katika serikali ya Mwaki Kibaki kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005