Tuesday, June 21, 2011

Rihanna - Man Down

Chris Brown - Next To You ft. Justin Bieber

Diamond Platnumz *Moyo Wangu* by Sheddy

KANYE WEST,MO'HOTS'D'BANJ AND DON JAZZY WA SIGN ON TO GOOD MUSIC

Kumekuwa na story kuwa wasanii kutoka Nigeria ( Dibanj na Don Jazzy ) wamesainiwa na label ya GOOD MUSIC inayomilikiwa na mtu mzima Kanye West kwa mda flani hivi.. Sasa Jool new blog imesibitisha kuwa ni kweli na imepata tukio zima.

Dondoka pande za Jool new blog,Dibanj,Don Jazzy na kwenya west waki -sign wamefikia hatua hii,wakishuudiwa na wasanii wengine wa hip hop,Hambao ni Jay Z,Kid cudi,Pusha T na  wengine kibao kama mashahidi wa makubaliano yako… Baada ya hapo zikapigwa ngoma za Dibanj kwa sana tu huku watu waki-pop bottl