Monday, September 05, 2011

DJ VENTURE ALIPOCHUKUA JIKO

  
.Panze za Kanisani....!
  
Mmoja wa wadau wa FlavaNite na Dj maarufu toka familia ya Killosa (DJ BonyLuv & DJ McKay),DJ Venture amefunga ndoa na Bi Benadina na baadaye mnuso mkali kufanyika pande za Kilimanjaro Hyatt na kuhudhuriwa na celebirities kibao toka Bongo....