Wednesday, September 07, 2011

CHIRIS BROWN AIPATA SAA YA GOLD & DIAMOND

 
Artist Chris Brown amemzawadia ticket ya bure kukaa backstage fan wake mwanamke baada ya kufanikisha kupatikana kwa saa yake kali aina ya rolex (gold-and-diamond watch) yenye thamani ya $ 22,000 ambayo aliipoteza kwenye tuzo za MTV Video Music Awards – 2011

  
....KITU CHA ROLEX....
Breezy alikua anapiga show na saa yake iliponyoka kwa bahati mbaya ilidondokea walipo fans wake na Alisha Borton,aliipata na kumpa bodyguard wa Chris Brown baada ya performance baada ya kumuona akihangaika kuitafuta na Breezy alimuahidi Alisha tickets ya upcoming gig yake pande za Cincinnati na backstage pass aonane nae Alisha uso kwa uso....Duh