Monday, July 09, 2012

HII NDYO VIDEO YA KATUNI INAYOONYESHA JINSI UGOMVI WA DRAKE NA CHRIS BROWN ULIVYOTOKEA





 Ikiwa ni zaidi ya wiki nne toka Ugomvi ugomvi wa mwimbaji Chris Brown na rapper Drake kutokea kwenye club moja huko New York Marekani, Mtaalamu Mike Rob ameweza kutengeneza VIDEO ya katuni ya jinsi ugomvi wao ulivyotokea kwenye club hiyo.
Mwanzoni mashuhuda walisema chanzo cha ugomvi ni baada ya Chris Brown kujikuta yuko kwenye club moja ya usiku na mtu ambae hawapatani (Drake) na kisa kinadaiwa ni Chris Brown kuhisi Drake anatoka na mpenzi wake wa zamani mwimbaji Rihanna.
Chris baada ya kumuona Drake kwenye club hiyo aliamua kumuagizia kinywaji kama ishara ya kutaka kupatana na kumaliza beef lao ambalo limekua likiendelea kupitia twitter kwa kurudhiana vijembe, baada ya kinywaji kumfikia Drake alikikataa na kummaind Brown na ndipo ugomvi ulipotokea, sasa huyu mtengeneza katuni amepata mkanda mzima wa jinsi ilivyokua na akaweza kutengeneza katuni inavyoonyesha tukio lilivyokua, itazame hiyo video hapo juu.

HIVI NDIYO MBWANA SAMATA ALIVYOWAFUNGA AL ALHLY KWENYE MECHI YA CHAMPIONS LEAGUE

REDIO [Cindy Rulz Ft. A.v.i.d] OFFICIAL MUSIC VIDEO

Solo Thang "MISS TANZANIA"

Wema Sepetu V/S Jackline Wolper

WEMA SEPETU Vs WOLPER WAZICHAPA



 Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika uwanja wa taifa, Dar-es-salaam kwenye tamasha la usiku wa matumaini

shosti tupigane za kwenye mabega tu mwayaa si unajua sura zetu tena mauzo heheheheeeeeee

Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.