Saturday, September 17, 2011

CHINUA ACHUBE AMKALIA KOONI RAPPER 50 CENT.

DR ALBERT CHINUALUMOGU ACHEBE – NIGERIA
 
THINGS FALL APART NOVEL (1958) - WRITTEN BY CHINUA ACHEBE
Ndoto za Rapper Curtis Jackso aka 50 Cent za kuiita movie yake "Things Fall Apart" huenda sistimie coz Mwandishi Maarufu toka Nigeria, Dr Chinua Achebe amempeleka mahakamani kudai fidia
Imefunguliwa kuwa baada ya kusikia kuwa 50 Cent ameiita movie yake Things Fall Apart,Chinua Achebe Foundation ilimtafuta movie producer wa 50 cent na kumwambia kuhusu kutumia jina hilo,na kuwa linatokana na novel aliyoiandika Dr. Achebe ya Things Fall Apart 1958 na walikubali kulipa dola milioni 1 kwa Chinua Achebe Foundation kwa kuwa tu 50 Cent alitaka kutumia jina hilo kama tittle ya movie yake
CURTIS JAMES JACKSON III - 50 CENT
THINGS FALL APART - 50 CENT MOVIE
Lakini ikafunguliwa kuwa Chinua Achebe Foundation ilikataa kuchukua fidia hiyo Coz novel ya Things Fall Apart iliuza zaidi ya copy milioni 8 duniani kote na kutafsiriwa kwa zaidi ya lugha 50 na kumfanya Dr Achebe kuwa 'the most translated African writer of all time' na kuweka historia ya kuwa 'the most read

ORODHA YA ARTIST WATAKAOWANIA TUZO ZA 9 KISIMA 2011


Orodha ya Artist watakaowania tuzo za 9 za Kisima 2011 aka 9th Kisima Awards 2011 ambazo zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 30 September 2011 pande za KICC imetolewa kwa category 10 kushindaniwa na mshindiwa kila kipengele atasepa na Shs milioni 1 taslim za Kenya

FUSION-ARTIST/GROUP OF THE YEAR • Operator - Dan (Chizi) Aceda • Haba Haba - STL • Coming - Home Sauti Sol • Mama - Cannibal • Mukuki ya Moto - Masala • Romour - Wendy Kimani

GOSPEL – ARTIST GROUP OF THE YEAR • Bahasha ya Ocampo - Juliani • I live for you - BMF • Tobina - Daddy Owen • Uwezo - Adonage • Papa God Oh - MOG/Mr Seed • Taunet Nelel - Emmy Kosgei

BOOMBA – ARTIST /GOUP OF THE YEAR • Motomoto - French Boy Ft Ray C • Fire - Size 8 • Get Down - Maddtrax • Kigeugeu - Jaguar • Chokoza - Marya Ft Avril • Landord – Mejja

HIP HOP –ARTIST/GROUP OF THE YEAR • Kare - P Unit • Tokelezea - Abbas & Chantelle • Burn Dem - Ukoo Flani • Bahasha ya Ocampo - Juliani • Kadha - Nonini • Eee Baba – Kris
RAGGA/REGAE- ARTIST/ GROUP OF THE YEAR • Running Low - Wahu • Mama Papa - Sauti Sol • Shika Glassy - Redsan • Kolo - Wyre Ft 9con • Determination - Kevoh Yout • Data – Proff
COLLABO OF THE YEAR • Little things you do - Wahu Featuring Bobi Wine • She said dat - Wyre Ft Cecile • Nitafanya - Kidum Ft Lady Jay dee • I’m here - Kdenk & Sana • Papa God Oh - MOG & Mr Seed • Kila Moja - Nonini, Chege & Lady bee
MOST PROMISING ARTISTE/GROUP OF THE YEAR • Wendy Kimani • BMF • Adonage • Size 8 • Diamond • Kdenk
VIDEO OF THE YEAR • Coming Home – Sauti Sol, Director - Willie Ousu • Land lord – Mejja, Director - Charles Luche • Mbagala – Diamond, Director - Adam Juma • Nitafanya – Kidum/Lady Jaydee, Director - Robert Kimanzi & R Kay • Asha – TID & Top Band, Director - Adam Juma • Haturudi Nyuma – Julianna Kanyemozi & Kidum, Director - R Kay
BENGA-ARTISTE/ GROUP OF THE YEAR • Guruneti Timona Mburu • Wololo Dola Kabarry • Katimba Ken wa Maria • Mwanamke Wyre & JB Maina • Kwata Kawaya Mbuvi • Sena Iwanyi Emmanuel Musindi
ARTISTE/GROUP OF THE YEAR • Sauti Sol • Kidum • P Unit • Juliani • Maddtrax • Jaguar