Friday, August 12, 2011

Rihanna ajiunga na J. Cole & Trey Songz kwenye Video yao mpya


  Mwanadada Rihanna ame show love kwa kuwaonesha support J.cole na Trey songz kwakutokea kwenye video yako mpya ya ngoma yao inayoitwa “Can’t Get Enough” ambayo video hiyo ilikua inafanyika weekend hii iliopita ambapo rihanna alitimba akiwa ametupia vinguo flan vya ufukweni ila kama kawaida dada huyu aachagi matukio…alionekana akiwa nawasha kitu cha cigar live wakati video hiyo ilipokua anaendelea…...

Jay z awakimbiza tena kwenye list ya Forbes


. Inaweza kuwa ni wiki bora zaidi kwa mwanamziki Jay Z, baada ya ile list ya Forbes kumtangaza kuwa yupo nafasi ya kwanza kwa wasanii wa mziki wa Hip Hop waliojiingizia kipato kikubwa zaidi kupitia kazi yao ya muziki kwa mwaka huu wa 2011, Jay z ameshika nafasi akifatiwa na msanii Diddy wa dirty money. Na nafasi ya tatu imekamatwa na mtu mzima Kanye West, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kanye West kurudi tena katika top three ya forbes list toka mwaka 2009,
Hii chini ni jinsi chati ya forbes inavyosomeka, Jay Z kwa kipindi cha miezi kumi na mbili ameingizia $37million,
2. Diddy: $35million
3. Kanye West – $16 million
4. Lil Wayne (tie) – $15 million
5. Birdman (tie) – $15 million
6. Eminem (tie) – $14 million
7. Dr. Dre (tie) – $14 million
8. Snoop Dogg (tie) – $14 million
9. Akon – $13 million
10. Ludacris – $12 million
11. Wiz Khalifa (tie) – $11 million
12. Drake (tie) – $11 million
13. Pharrell Williams – $10 million
14. Timbaland – $7 million
15. Swizz Beatz (tie) – $6.5 million
16. Nicki Minaj (tie) – $6.5 million
17. Rick Ross (tie) – $6 million
18. 50 Cent (tie) – $6 million
19. Pitbull (tie) – $6 million
20. T-Pain (tie) – $5 million
21. B.o.B (tie) – $5 million

Kelly Rowland amwaga radhi mbele ya mashabiki wake


. Wiki iliopita ilikua ni Nicky Minaj na wiki hii ni zamu ya mwanadada Kelly Rowland kumwaga radhi mbele ya umati wa watu alipokua ana perform ngoma yake motivation ghafla nguo ikamvuka nakuacha kifua chake chote njee ndipo mashabiki waloikuepo kwenye eneo hilo walipoanza kutoa simu,camera na kumpiga picha mwanadada huyo katika hali hiyo design kama mwanadada alikua amevaa kinguo flan cha ajabu sana kiasi cha kwamba kumfanya aibike mbele ya mashabiki wake......

Tracklisting: Game – ‘The R.E.D. Album’


Leo katika joelmkal.blogspot.com inakuletea list ya track zilizopo kwenye Album mpya ya mtu mzima The Game ambayo inaitwa ‘The R.E.D. Album’ yenye track 21 ambapo humo ndani wameshirikishwa wakali kibao kama Lil Wayne, Drake, Young jeezy, Chris Brown, Nelly Furtado pamoja na Dr Dre……Album hiyo itaanza kuonekana kwenye mitandao kwanzia tarehe 23 ya mwezi huu wa 8…..................................
The R.E.D. Album Tracklisting......

1. “Dr. Dre (Intro)”
2. “The City” feat. Kendrick Lamar
3. “Drug Test” feat. Dr. Dre, Snoop Dogg, & Sly
4. “Martians vs. Goblins” feat. Tyler, the Creator & Lil Wayne
5. “Red Nation” feat. Lil Wayne
6. “Dr. Dre 1 (Interlude)”
7. “Good Girls Go Bad” feat. Drake
8. “Ricky”
9. “The Good, The Bad, The Ugly”
10. “Heavy Artillery” feat. Rick Ross & Beanie Sigel
11. “Paramedics” feat. Young Jeezy
12. “Speakers on Blast” feat. E-40 & Big Boi
13. “Hello” feat. Lloyd
14. “All the Way Gone” feat. Mario & Wale
15. “Pot of Gold” feat. Chris Brown
16. “Dr. Dre 2 (Interlude)”
17. “All I Know” feat. Luu Breeze
18. “Born in the Trap”
19. “Mama Knows” feat. Nelly Furtado
20. “California Dream”
21. “Dr. Dre (Outro)”

K.Sher ft Marlaw - Hamu