Friday, August 12, 2011

Rihanna ajiunga na J. Cole & Trey Songz kwenye Video yao mpya


  Mwanadada Rihanna ame show love kwa kuwaonesha support J.cole na Trey songz kwakutokea kwenye video yako mpya ya ngoma yao inayoitwa “Can’t Get Enough” ambayo video hiyo ilikua inafanyika weekend hii iliopita ambapo rihanna alitimba akiwa ametupia vinguo flan vya ufukweni ila kama kawaida dada huyu aachagi matukio…alionekana akiwa nawasha kitu cha cigar live wakati video hiyo ilipokua anaendelea…...

No comments: