Friday, August 12, 2011

Jay z awakimbiza tena kwenye list ya Forbes


. Inaweza kuwa ni wiki bora zaidi kwa mwanamziki Jay Z, baada ya ile list ya Forbes kumtangaza kuwa yupo nafasi ya kwanza kwa wasanii wa mziki wa Hip Hop waliojiingizia kipato kikubwa zaidi kupitia kazi yao ya muziki kwa mwaka huu wa 2011, Jay z ameshika nafasi akifatiwa na msanii Diddy wa dirty money. Na nafasi ya tatu imekamatwa na mtu mzima Kanye West, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kanye West kurudi tena katika top three ya forbes list toka mwaka 2009,
Hii chini ni jinsi chati ya forbes inavyosomeka, Jay Z kwa kipindi cha miezi kumi na mbili ameingizia $37million,
2. Diddy: $35million
3. Kanye West – $16 million
4. Lil Wayne (tie) – $15 million
5. Birdman (tie) – $15 million
6. Eminem (tie) – $14 million
7. Dr. Dre (tie) – $14 million
8. Snoop Dogg (tie) – $14 million
9. Akon – $13 million
10. Ludacris – $12 million
11. Wiz Khalifa (tie) – $11 million
12. Drake (tie) – $11 million
13. Pharrell Williams – $10 million
14. Timbaland – $7 million
15. Swizz Beatz (tie) – $6.5 million
16. Nicki Minaj (tie) – $6.5 million
17. Rick Ross (tie) – $6 million
18. 50 Cent (tie) – $6 million
19. Pitbull (tie) – $6 million
20. T-Pain (tie) – $5 million
21. B.o.B (tie) – $5 million

No comments: