Wednesday, August 24, 2011

MORGAN HERITAGE KUDONDOKA KENYA OCTOBER

 
PEETAH MORGAN - REGGAE ARTIST
 
Reggae brothers wawili,Gramps na Peetah Morgan wa kundi la Morgan Heritage wana mpango kudondoka nchini Kenya mwezi October kwa projects zao kadhaa zitakazohusiana na mpango wa kuchangia walioathirika na njaa nchini humo
 
ROY 'GRAMPS' MORGAN - REGGAE ARTIST

Gramps na Peetah wanatoka kwenye band ya ndugu watupu iliyoanzishwa mwaka 1994 na watoto 5 wa reggae artist Denroy Morgan na watakwenda Kaskazi mwaKenya ambapo watasaidia ugawa wa misaada mbalimbali kwa waathirika hao na pia wameandaa concert jijini Dallas TX mwezi ujao na mkwanja utakaopatikana utapelekwa nchini Kenya na show hiyo imeandaliwa na Uhuru Clothing,one of the biggest Kenyan fashion brands iliyopo Marekani na African Dallas Community and Music Orchestrating Miracles

MORGAN HERITAGE - JAMAICAN REGGAE GROUP