Friday, August 26, 2011

SAMIR NASRI ASEPEA MANCHESTER CITY

 
SAMIR NASRI - FRANCE/MANCHESTER CITY FC
France Attacking Mildfielder,Samir Nasri ameihama timu ya Arsenal FC na kuhamia Manchester City,kwa mkataba wa miaka 4 baada ya Manchester City kuilipa pauni milioni 24 timu ya Arsenal baada ya kubakiza mkataba wa mwaka 1 na Arsenal
 
Samri ameungana na Gael Clichy aliyeihama Arsenal kwenda Man City na atatupia jezi No 19 badala ya No 8 aliyokua anaivaa Arsenal tangu alipohamia mwaka 2008 toka Marseille coz alikua anataka avae tena jezi No 8 ila inavaliwa na Shawn Wright-Phillips na anatarajiwa kuichezea timu yake mpya ya Man City,Jumapili dhidi ya Tottenham Hotspurs....