Monday, September 12, 2011

BEYONCE KNOWLES AKIANIKA KITUMBO CHAKE……!


TUZO MTV MUSIC VIDEO AWRDS 2011....ALIPOFUNGUKA RASMI KUWA JAY Z KISHALENGA
Beyonce Knowles aka Bey,shem wetu kwa Jay-Z,ameonekana akijiachia na kitumbo chake baada ya uzinduzi rasmi wa kitumbo chake alichoufanya kwenye tuzo za MTV - Video Music Awards (VMA)
Bey na Jay-Z walionekana kula bata pande za Croatia,na Bwyonce alionekana akiota jua na kitumbo chake wakiwa wanasubiri boat pande za kisiwa vya Hvar