Sunday, August 21, 2011

AY FT LAMYIA & ROMEO - SPEAK WITH YA BODY (Official Video HQ)

Godzilla ft. Marco Chali - King Zilla.(www.bongostarlink.com)

Erica Lulakwa - Close To You (Official Music Video)

Jimwage (Wachuja Nafaka).


NICKI MINAJ AMTEMA BOYFIEND NAKUMFUKUZA KAZI ON THE SPOT

 
MediaTakeOut.com imetoa habari za uhakika leo hii kuwa mwanadada Nicki Minaj amemtema boyfriend wake Safaree na kumfukuza kazi on the spot kama hype man wake, na kuwaamuru walinzi wake kumsepesha katika nyumba yake.
lakini sasa hali inaonekana kuwa mbaya kwasababu inasemekana Safaree amerudi LOS ANGELES na sasa anaishi ndani ya jumba la Nikki na amegoma kuondoka
, kwa habari za kimbea zaidi kutoka kwa jamaa anaeishi jirani amesema Safaree tayari anamwamke anaemtembelea nyumbani hapo wakati Nicki yupo kwenye tour