Wednesday, September 07, 2011

EDDIE MURPHY APATA SHAVU OSCAR AWARDS 2012

\
EDWARD REAGAN MURPHY - EDDY MURPHY
Waandaaji wa Tuzo za Oscar wamefunguka kuwa Actor na Comedian toka Marekani,Edward Regan Murphy aka Eddie Murphy amepata shavu la kuwa MC kwenye tuzo za 84 za Oscar - 2012

  
Eddie Murphy mwenye miaka 50 alifunguka kuwa 'anajisikia poa sana kupata shavu hilo na kuungana na list ya watu maarufu waliowahi ku host Oscar Academy Award kuanzia Hope ana Carson,Crystal,Martin na Goldberg,na wengine na tuzo hizo za 84 za Oscar Academy Awards zinatarajiwa kufanyika Jumapili ya,February 26 2012 pande za Kodak Theatre jijini Hollywood,Califor

No comments: