Thursday, September 08, 2011

K’NAAN KUSHOOT MOVIE TANZANIA

 
KEINAN ABDI WARSAME AKA K'NAAN 
Rapper K’naan toka Somalia anayeishi Canada kwa sasa,aliye bang na ngoma kali ya World Cup 2010 ya Waving flag,yuko kwenye mishe za ku-shoot romantic movie mpya nchini Tanzania.Movie itaitwa The Catastrophist akiwa na actors Steve Coogan na Stephen Dorff ambayo utengenezaji wake utafanyika mkoni Mwanza,Tanzania na itakua chini ya Director Nick Broomfield kupitia kampuni yake ya Lafayette Films na movie hiyo itasaidia kuipa shavu Tanzania kwenye tasnia ya filamu

No comments: