Wednesday, September 07, 2011

KIGOGO MMOJA INDIA ATUMA NDEGE KUMNUNULIA SANDALS

BI MAYAWATI KUMARI
Waziri Kiongozi wa Jimbo la Uttar Pradesh,Bi Mayawati Kumari amedaiwa kutuma ndege tupu kwenda kumnunulia jozi moja ya viatu aina ya Sandoz mjini Mumbai

   
JULIAN ASANGE TOKA SWEDEN - MMILIKI WA WIKILEAKS
Mtandao wa kidaku wa Wikileaks umefunguka kuwa Oktoba 23,2008 Kumar alitaka sandoz na kutuma ndege tupu na kudai kuwa mmiliki huyo wa wikileaks,julian Asange ni kichaa na pia anadaiwa kuwa ameajiri watu maalum wa kuonja chakula chake kabla hajala


No comments: