Tuesday, July 10, 2012

LOVE & POWER : HII NDIO MOVIE YA MWISHO ALIYOICHEZA KANUMBA KABLA YA KUFARIKI.

                    
Nina uhakika bado hujaona Trailer ya movie ya mwisho ambayo Marehemu Muigizaji Steve Kanumba aliicheza, fahamu kwamba Trailer yake ndio hiyo hapo chini na movie inaanza kuuzwa muda wowote kuanzia sasa, hii ndio movie ambayo Director msaidizi aliefanya kazi na Kanumba kwa miaka saba alisema ilikua kama inatabiri kifo lakini siku chache baadae mwigizaji mkuu ambae ni Irene Paul alikanusha na kusema maneno ya director huyo hayakua na ukweli wowote, haifanani na jinsi kifo cha Kanumba kilivyotokea, movie inaitwa LOVE AND POWER.


No comments: