Wednesday, July 11, 2012

KIGOMA : ALL STARS – LEKA DUTIGITE

Wasanii takribani woote wanaowakilisha mkoa wa Kigoma wameachia wimbo wa pamoja unaoitwa LEKA DUTIGITE maana yake ni acha tijidai, imetengenezwa na Tuddi Thomas na ndani yake kuna Diamind, Mwasiti, Ommy dimpoz, Linex, Baba Levo, Recho, Peter Msechu, Banana, Makomando na wengineo. sikiliza hapa chini

No comments: