Thursday, May 24, 2012

MNYIKA BAADA YA USHINDI WA KESI YA LEO

 
Mh. Mnyika alipokuwa akiwasili Mahakamani leo asubuhi

 
Mnyika akipongezwa na Baadhi ya jamma zake waliofika Mahakamani hapo 


 
Mbunge wa jimbo la ubungo  kwa Tiketi ya chama cha Demokrasia  na Maendeleo  (CHADEMA),Mh. John  Mnyika  akiwa amebebwa  juu  juu na wanachama wa chama hicho pamoja na mashabiki wake nje ya  Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam leo mara baada ya kushinda  kesi yake iliyokuwa ikimkabili kuhusiana na ushindi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010

 
Wanachama wa chadema pamoja na washabiki wa Mbunge wa jimbo la Ubungo wa kishanglia ushindi wa kesi ya Mbunge wao,Mh. John  Mnyika.


Askari Polisi wakihakikisha  usalama upo wa kutosha katika njia walizokuwa  wakipita wapenzi wa chadema kusherehekea ushindi wa Mbunge wao.

No comments: