Thursday, September 29, 2011

WASANII WA KIZAZI KIPYA,ROMA NA KALLA JEREMIAH MOVEMENT YA PAMOJA..

 

ROMA MKATILIKI
Concious Hip-Hopper toka TZ,Roma Mkatoliki ameungana na Rapper Kalla Jeremiah na kuanzisha movement inayoitwa 'Mitaa Ina Njaa Na Kiu....We Are Comin 2 Feed U'
  
KALLA JEREMIAH
Movement hiyo ina lengo la kumfikia kila mtanzania anapopatikana na kuwapa chakula na vinywaji na imeanzia wilayani Geita mkoa wa Mwanza

No comments: