Thursday, August 25, 2011

WILL SMITH JADA PINKETT KUACHANA

 
MR & MRS SMITH
 Kuna za Joelmkali  kuwa Celebrity couples toka HollyWood,Will Smith na wife wake Jade Pinkett-Smith wana mpango wa kutengana.Will Smith na Jade Pinkett-Smith walioana wakati wa mkesha wa mwaka mpya 1997,jijini Baltimore na ndoa yao kwa sasa ina miaka 13 iliyojibu kwa kupata watoto 2 tena ma Don,Jaden Smith na Willow Smith
 
Kwa sasa ndoa hiyo imefunguliwa kuwa imeingiwa na kirusi coz mwaka 2008 kulikua kuna rumours kuwa walikuabaliana ndoa yao iwe 'open marriage' kila mtu awe huru,lakini baadae Jada aliibuka na kuzima uvumi huo Haijajuliana mara moja inakuaje mustakabali wa ndoa yao,ila watoto wao Willow Smith anakadiriwa kuwa na utajiri wa $ Milioni 4 baada ya kuuza single yake ya Whip My Hair na Jaden Smith inasemekana kuwa ana utajiri wa $ Milioni 5 huku $ Milioni 3 akizipita kutokana na movie ya Karate Kid....
 
CELEB CHILD BILIONAIRES....JADEN vs WILLOW SMITH

No comments: