Friday, August 26, 2011

SAMUEL ETO’O ASAJILIWA FC ANZHI MAKHACHKALA

           
Cameroon star Samuel Eto’o ame-sign mkataba wa miaka 3 na timu ya FC Anzhi Makhachkala toka Urusi


....SAMUEL ETO'O FILS....AKIWASILI URUSI....
Eto'o ambaye amekua African player of the year kwa mara 4,alikua mchezaji wa Inter Milan na kufunga magoli 53 kati ya mechi 103,atalipwa Euro milioni 10 kwa mwaka toka kwa billionaire Suleiman Abusaidovich Kerimov anayemiliki timu hiyo ya FC Anzhi Makhachkala pia atakuwa anavaa jezi namba 99 kwenye club yake hiyo mpya ya Anzhi Makhachkala na anatarajiwa kuanza kuichezea timu hiyo Jumamosi kwenye mechi ya 22 ya Premier League mjini Rostov
Billionaire Suleiman Abusaidovich Kerimov ametajwa kuwa namba 118 kwa utajiri na Forbes list of the world's billionaire akiwa na utajiri wa dola milioni 7.8 za Kimarekani

No comments: